Tazama ilivyokuwa vema Na kupendeza ndugu kukaa pamoja kwa Aman. Siku ya Leo ya family 👪 day tunamshukuru mungu Sana kwa kufanikisha shughuli zima tulianza Na mungu Na kumaliza Na mungu.
mshukuru Sana mungu kwa kila jambo ambalo amefanya juu yako siku ya Leo ♌ pia ushirikiano katika family 👪 zetu uendelee isiwe kwa ajili ya matukio Tu.
mungu mwingi wa Rehema afanye kitu kupitia event ya Leo ♌ family 👪 family 👪 family 👪 family 👪 DAY.
Sunday, 10 January 2016
Saturday, 9 January 2016
FAMILY 👪 DAY KKKT USHARIKA WA KITUNDA RELIN
Jumapili hii ikiwa Ni siku ya family 👪 day wewe ukiwa Kama msharikaa wa KITUNDA RELINI KKKT hii siku sio ya kukosa njoo Na familia yako pia Na majamaa zako pia waaalike Ili tujumuike kwa pamoja.
Ni chukue fursa hii kuwasihi kuwa wale wasaidizi WA nyumba zetu wa dada wa kazi uusimwache alinde nyumba kwa kuwa hata yeye Ni mwana familia njoo nae .
SIku ya jumapili ya family 👪 day njoo useme kitu kwa ajili ya familiar yako mbele za mungu Na mungu atafanya AMENI.

Subscribe to:
Posts (Atom)