HII ILIKUWA SIKU AMBAYO VIJANA WETU WALIENDA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI PALE KKKT KIPAWA KIUKWELI TULIMWONA SANA MUNGU WETU MTENDA MAAJABU
NA SISI UMMOJA WAVIJANA HATUPO NYUMA KATIKA KUTIMIZA NENO LA MUNGU KUTKA KITABU CHA ZABURI 100 NA ZABURI 150.
NIWAOMBE WAZAZI WA USHARIKA WA KITUNDA RELINI KUWAHIMIZA VIJANA WETU KUJIUNGA NA UMMOJA HUUU................................................................................
No comments:
Post a Comment