VIONGOZI WA UMMOJA WA VIJANA
Walipotembelea nakuangalia sehemu ambayo semina ya vijana wetu itaenda kufanyika pale Bagamoyo. Ewe kijana hii semina sio ya kukosa jiandae tarehe 6 sio mbali.
No comments:
Post a Comment